Umoja wa Afrika umetangaza kazi 2 za Translators wa Kisawahili kufanya kazi katika makao makuu ya Umoja wa Afrika huko Addis Ababa, Ethiopia. Mshahara wake ni dola 60,000 kwa mwaka
Indicative basic salary of US$ 37,453.00 (P3 Step1) per annum plus other related entitlements e.g. Post adjustment (46% of basic salary), a Housing allowance of US$ 22,932.00 (per annum), and education allowance (100% of tuition and other education-related expenses for every eligible dependent up to a maximum of US$ 10,000.00 per child per annum)
Deadline December 19, 2022
Link ya kuomba kazi ni Translator (Kiswahili) (au.int)
0 Comments