Header

CONTACT FOR SCHOLARSHIP’S INQUIRY




Twitter www.twitter.com/ernest_makulilo 

E-mail ebmakulilo@yahoo.com AND ebmscholars@outlook.com 

Post a Comment

33 Comments

Anonymous said…
This window is very helpful to the people but do you provide scholarships for degree programmes?
Mr. Ally said…
Awesome blog a lot of information very helpful.
Anonymous said…
the world is full of miracles including this window,we do appreciate the works of your hands!
Bahemana Paul,UDSM.
Anonymous said…
Hey Mr.MAKU this is a nice blog ever seen because it helps people like me, to find the needed information but are you also giving the information about masters in journalism field?
Anonymous said…
mambo mdogo wangu,umeadvance si mchezo, go on my brother. am very proud of you.
SOSSY FORREAL said…
Kaka This is What PEOPLE CALL a Basic Need..YOUR BLOG IS ONE OF THE AFRICAN YOUTH`S BASIC NEED..Lakini itakuwa Very Nice kama hao wanaofanikiwa Kuyapatia Maisha Kupitia BLOG hii Wakatoa na Ushuhuda kwa Wengine ili Wengine wapate IMANI Maradufu.. GOD BLESS YOU KAKA.. PER MORE JAH
Anonymous said…
Bro, nimeona umeachana na ukapera.... Hongera sana msalimie sana wifi mwambie karibu kwa wabongo.
Anonymous said…
It was great gettin' to know you through the blog Makulilo.Was like a suprise.You're among few people who pays back what God has given you......Remembers homemates.God bless you Makulilo to continue with such heart.
Anonymous said…
It was great gettin' to know you through the blog Makulilo.Was like a suprise.You're among few people who pays back what God has given you......Remembers homemates.God bless you Makulilo to continue with such heart.
FRED said…
hello!mr makulilo jr you are doing a great job..may God bless yuo.first time I saw you through TBC1 but i was late.. i decided to see you blog.i'm 24 yrs old tanzanian.i have bachelor degree in computer science(lower second),by now i have a job at premium active tanzania as data supervisor.. but i need to study father..its my first time to visit your blog can you help me please.
fred Gonga
N.A. ASSENGA said…
you may think that what you do is just a small thing, NO. it is a very big think,if there will come a post for President of the World u will have all our Votes.
Keep it up, I think "IN NOT TIME, YOU WILL BE THE UN SECRETARY GENERAL"
Take it from me,

My prediction is more than that of Paul "The Octopus";print it and keep it in you file for reference.

Goodluck, keep it up,It is still the BEGGINING.

Says,
Noel Assenga,
Risk Officer,
Parastatal Pensions Fund,
Dar es Salaam.
Anonymous said…
hello bro,kaka kwa mtu ambaye amepata admission ya chuo tanzania anaweza kupata scholarships,
Anonymous said…
kaka hongera kwa kazi nzuri unayofanya,mimi nasoma shahada ya international relation hapa udom je nitawezaje kupata nafasi ya kusoma ng'ambo?nitamaliza 2012
novatus mramba said…
kaka hongera kwa kazi nzuri unayofanya,mimi nasoma shahada ya international relation hapa udom je nitawezaje kupata nafasi ya kusoma ng'ambo?nitamaliza 2012
novatus mramba said…
kaka hongera kwa kazi nzuri unayofanya,mimi nasoma shahada ya international relation hapa udom je nitawezaje kupata nafasi ya kusoma ng'ambo?nitamaliza 2012

novamramba@yahoo.com
Anonymous said…
KAKA NIMEOMBA CHUO KIMOJA ULIWEKA KATIKA BLOG KINAITWA ATLANTIS INTERNATIONAL UNIVERSITY SASA WAMENIPIGIA SIMU NA KUNIPA ADMISSION HARAKA SANA MPAKA NIMESHANGAA.NATAKA KUSOMA ONLINE FEE YAO KWA MWEZI NI DOLA 300.JE HIKI CHUO NI GENUINE NA NIKILIPA PESA ZANGU NI SALAMA MAANA NAONA KAMA WAMENICHANGAMKIA SANA NA WALA HAWAJANITUMIA PROSPECTUS NA RELATED MATERIALS KUONA COURSE STRUCTURE?
Anonymous said…
Hongera kaka ninaitwa Mahanya E. Kiyola toka Kigoma,ninachukua BA with Education toka Chuo cha Mt.Augustino Mwanza Tanzania,Jun 2011 nitahitimu.Ninihitaji kusoma Masters of Art in Peace and Justice baada ya kuhitim kutoka chuo chochote kinacho kubalika kimataifa.Ninahitaji msaada wako katika kumpata mfadhili ili kufanikisha safariyangu kielimu.Mungu akubariki
Anonymous said…
Hallo! Naitwa Haji Msungu kutoka ktk chuo kikuu cha kilimo cha sokoine-SUA. Ninatarajia kuhitimu masomo yangu ya degree ya kwanza ktk shahada ya misitu(Bsc:forestry) mwaka huu june, 2011. Naomba msaada wa kupata ufadhili kwaajili ya masters degree.
Contact: hjmsungu@yahoo.com
patric said…
You have gone more steps ahead friend and I believe that, this is just the initial point.keep moving.
patric said…
poa dogo maisha mema. keep rolling.
joseph Nzala Ryata said…
hey mr makulilo nakupa hongela mwanangu mungu akubaliki na akuongezee maana kazi unayofanya ni kwa faida ya waTanzania na si Mbeya wala Kigoma
JOSEPH NZALA RYATA said…
mr Makulilo nina mpango wa kusoma MA Linguistics na nakutegemea wewe ndugu yangu unitoe huku AFRICA tell me my friend where to start so that i can start with preliminary preparation its me JOSEPH NZALA RYATA from
Anonymous said…
kijana Msauzi kiukweli nimekukubali mkuu, mambo yanenaje lakini, Kaka ni kwamba mimi nimemaliza Mzumbe University LLB, nina Gpa ya 3.1, Kiukweli nataka kusoma masters nje, je ntapata, Mungu akubaliki. KIGONGA ANTHONY J
shimwela said…
kaka kwa kweli wewe mbunifu sana, niliwahi kusikia kwenye mjadala/makala fulani nadhani redio Doutchwelle ukitoa historia yako na mambo yaliyokusukuma kuanzisha hii blog hasa kuhusu scholarships. kwa kweli naamini ni msaada sana kwa watanzania wanao tafuta fursa za kusoma nje japo wengi ni wavivu wa kutafuta habari,kama watanzania wote waliojaliwa kupata channel wangekuwa kama wewe tungefika mbali sana,thanks a lot na Mungu Aliye Hai akupe maisha marefu.umeonyesha njia naamini wengine
Anonymous said…
Hallo Kaka Makulilo Nimemaliza BSc Agriculture Education and Extension. Sua Tz.mwaka 2009 naomba msaada wa kupata chuo cha kuendelea na Master kwenye fani mmojawapo kati ya hizi Master in Agriculture Education and Extension
2.Agriculture Economics
3.Rural Development.
Ntashukuru sana my contact jonajuly@yahoo.com Wa Tanzania
Anonymous said…
Hallo Kaka Makulilo Nimemaliza BSc Agriculture Education and Extension. Sua Tz.mwaka 2009 naomba msaada wa kupata chuo cha kuendelea na Master kwenye fani mmojawapo kati ya hizi Master in Agriculture Education and Extension
2.Agriculture Economics
3.Rural Development.
Ntashukuru sana my contact jonajuly@yahoo.com Wa Tanzania
Anonymous said…
Hello, am a n African girl aged 24yrs,studying at the university of Dar es salaam as a finalist taking B.A in political science and language, am hoping to graduate in July this year, Iam looking for a scholarship to help me to peruse my masters degree ( MBA)at the university of Dar es salaam here in Tanzania, Plz request your assistance on this, "Stella.john@yahoo.com"

Thanks in advance bro...,
Anonymous said…
habari! samahni naomba msaada wako nimemaliza chuo mwaka jana 2012, kwa hiyo nilikuwa natafuta scholarship kwa ajili ya masomo ya masters kwa MBA, shahada ya kwanza nimesoma BA public Administration.
cmen said…
Hello. Kaka nimemaliza BA.Education 2010 naomba msaada wa kuweza kusoma masters katika eneo hili.
Policy related studies and also scholarship
chileemore@gmail.com
THANK YOU
elvis Temba said…
Kaka hongera kwa kazi yako ila mimi ni mwanafunzi niliyemaliza diploma na Degree yangu ya Logistics and Transport management na nategemea kuendelea na masters level katika fani yangu hii hii ya Logistics. Tafadhali nisaidie niweze kujiunga na chuo chochote huko kwa ajili ya masters
elvistemba@yahoo.com
Unknown said…
Hello my brother Makulilo,jr this is the first time i have entered into your blog and find these very interesting detailed information.My name is emanuel stanislaus from kigoma and i have once studied at makulilo education centre in kigoma the home of yours being taught by mr boniphace makulilo.Currently i have completed my bachelor degree in special needs education (BEdSN)at Sebastian Kolowa Memorial university-SEKOMU found in Tanga Tanzania. I am now looking for the opportunity to study masters of special education abroad. Frankly speaking is that i need your direction in doing application for admission,scholarship and sponsorship please help me
Anonymous said…
Hellow my name is Lucy Charles I am 19 years and I have completed my high school at songe girls secondary school 2014 with division 3 point 13 principle subject were chemistry, biology, physics (PCB) my desire was to study and become a pharmacist. I kindly request for pharmacy scholarship undergraduate. Please use my aunts' email nyamwiza@yahoo.com .
Unknown said…
Hello may God bless Makulilo but am asking if it possible for undergraduate(degree) TO GET SCHOLARSHIP